Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2014

Air Tanzania kununua ndege nne aina ya Bombardier Q400.

Yasaini mkataba wa makubaliano na kampuni ya Bombardier ya Canada Ndege ya kwanza kati ya ndege hizo inatarajiwa kuwasili hapa nchini mwishoni mwa mwaka huu wa 2014. Mkataba wa makubaliano ya awali ya ununuzi wa ndege hizo umetiwa saini jijini Dar es salaam, jumanne tarehe 19/08/2014, kati ya kaimu mkurugenzi mkuu wa ATCL capt Milton John Lazaro na Mkurugenzi wa mauzo wa kampuni hiyo ya Bombardier kanda ya Afrika. Kapteni Milton amesema ndege hizo zenye mwendo wa kasi zina uwezo wa  kuchukua hadi abiria themanini (80) kila moja kwa wakati mmoja na ndege ya kwanza kati ya ndege hizo inatarajiwa kuwasili hapa nchini mwishoni mwa mwaka huu wa 2014. "Ni ndege ambayo pia inatumika na nchi jirani na zingine kimataifa, ni ndege yenye mwendo wa kasi amabayo uwezo wake wa kuruka, kasi yake unakaribiana na ndege aina ya jet. Kwa hiyo ni ndege ambayo sisi kwetu katika mchakato wa kuimarisha kampuni itatuletea mafanikio makubwa na faida kubwa" alisema kapteni

fastjet’s first flight to Zimbabwe takes off

Low-cost pan-African airline offers only direct air link between Tanzania and Zimbabwe Senior government representatives, Zimbabwe's CAA chief and senior staff members from fastjet including CEO Ed Winter and CCO Richard Bodin all gather for photos on the Harare apron! fastjet’s inaugural flight between Dar es Salaam in Tanzania and Harare in Zimbabwe took off yesterday (5th August), marking the launch of the low-cost airline’s third international route across Africa, and the only direct air link between the two African capital cities. Previously, those wishing to travel between Dar es Salaam and Harare had to spend at least two days travelling the approximately 2200km by road, or they had to fly via Nairobi in Kenya or Johannesburg in South Africa involving lengthy layovers. The new route offered by fastjet provides a solution to this problem, with twice-weekly flights now flying between Harare International Airport in Zimbabwe and Dar es Salaam’s