Skip to main content

Air Tanzania na mipango ya Q400; vipi kuhusu CS300?


Air Tanzania imeainisha mipango yake ya uendeshaji kwa ndege zake mpya mbili aina ya Dash 8-400s zinazotegemewa kuwasili katika nusu ya pili ya mwezi ujao.

Gharama zilizolipwa na serikali ya Tanzania kwa ajili ya manunuzi ya ndege hizo, tayari zilishadokezwa mwezi Juni na waziri wa fedha na mipango, Dr Phillip Mpango wakati wa kuwasilisha bungen taarifa juu ya hali ya uchumi nchini Tanzania.

"Serikali itanunua ndege tatu: Bombardier CS300 moja yenye uwezo wa kubeba hadi abiria 150 na Bombardier Q400 mbili zenye uwezo wa kubeba abiria hadi 80 kila moja," alinukuliwa Dkt Mpango.

Hakuna tarehe ya kuwasili kwa C Series, au uthibitisho wowote kwamba itaagizwa lini kwa ajili ya Air Tanzania, uliotolewa.

Kaimu mkurugenzi mkuu Patrick Itule anasema kuwasili kwa Q400 kutaleta mapinduzi makubwa ya upanuzi katika mtandao wa safari unaomilikiwa na shirika hilo ambapo kwa sasa kuna Kigoma, Mtwara na Mwanza ndani ya nchi na kikanda ni Moroni, Comoro.

Kwa mujibu wa Itule, sambamba na ndege pekee ya Air Tanzania inayofanya kazi kwa sasa, Dash 8-300, hizo Q400 mbili zitatumika hatua kwa hatua kuanza kutoa huduma za safari kuelekea: Dodoma; Mwanza; Arusha; Mbeya; Tabora; Mpanda; Kilimanjaro; Zanzibar; Pemba Wawi; na Bukoba.

Hata hivyo, kuimarika tena kwa Air Tanzania pia kutategemea si tu kuweka sawa madeni yake ambayo iliripotiwa yanakadiriwa kufikia shilingi billion 93 sawa na dola za kimarekani milioni 50.8, lakini pia  idadi kubwa ya wafanyakazi wake wanaokadiriwa wafanyakazi 200 wakiitumikia ndege moja. Tayari utawala wa rais John Magufuli umeripotiwa kuteuwa jopo la wataalam watakao pitia na kubuni  mpango unaofaa kulirejesha shirika hilo la  ndege linalochechemea katika ubora wake..

Katika kuonesha nia ya dhati ya kurejesha Air Tanzania katika sifa yake ya zamani, Waziri wa Kazi, Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amemsimamisha kazi aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Air Tanzania, Johnson Mfinanga, na vile vile Mkurugenzi wa Uendeshaji, Sadick Muze, kwa kuwa walichagua rubani asiye na sifa/viwango sahihi kwenda nchini Canada kwa ajili ya mafunzo ya ndege, Q400, katika kampuni ya Bombardier (Montréal Trudeau).

Nafasi hiyo ya Mkurugenzi Mtendaji imesha tangazwa kuwa wazi kwa kuajiri hali inayoonesha kuwa bwana Mfinanga sasa kaondolewa kabisa.  Bwana Patrick Itule ndiye anaye kaimu nafasi hiyo kwa sasa.

Comments

Most Viewed Posts

Job Opportunities at Air Tanzania (ATCL)

VACANCIES ANNOUNCEMENT Air Tanzania Company Limited (ATCL) is in the process of revamping its operations and has introduced new equipment to its fleet. The Company is therefore inviting applications from qualified personnel to fill various positions.
1.      POSITIONS: 
1.1. Dash 8 – Q400 Mechanical and Avionics Certifying Engineers (6 POSTS) 
   a)    Qualifications·         ·Must possess a valid Aircraft Maintenance Engineers License (ICAO TYPE II).  ·        ·Must possess a valid Dash 8 – Q400 Approval/License.·Must have successfully completed Dash 8 – Q400 type course from an Approved Training Organisation.       ·Must have Aircraft Maintenance working experience, as a certifying engineer, of not less than 5 years; 2 of which being on Dash 8 – Q400. Experience must include release to service certification after “A” Check and above.       ·Computer literacy·        ·Fluency in English·        ·Possession of Dash 8-Q300 Approval/License will be an added advantage.

   b)    Duties and res…

Job Opportunities at Air Tanzania: Pilots-in-Command, Co-Pilots,Aircraft Maintenance Engineers and Cabin Crews.

Air Tanzania Company Limited (ATCL) is in the process of revamping its operations and has introduced new equipment to its fleet. The Company is therefore inviting application from qualified personnel to fill various positions.
1. POSITIONS: 1.1 Pilot-in-Command – Dash 8 (11 Posts) a) Qualifications: Must possess Airline Transport Pilot License (ATPL) and with performance “A”.Must additionally achieve the following:- ·Minimum of 4000 hours flying experience of which 2000 hours must be command on multi-engine aircraft; Above 17 ton. ·Group 1 endorsement on DASH 8 or Equivalent with a minimum of 500 hours command on type; ·Pass an oral interview and flying acceptance check conducted by the Company; ·Must pass a Base and Route check with an Instrument Rating within 10 and 70 hours respectively; ·Track record of good performance as a Commander and no accident record.
b) Duties and responsibilities: ·To command the aircraft with due regard for safety and comfort of passengers at all times. ·To maintain…

Job Vacancy At Precision Air - Cabin Crews (10-Posts)

JOB VACANCY Precision Air Services Plc is a fast growing private Tanzanian airline which operates in Partnership with Kenya Airways, with its strategies to expand wings beyond East Africa and Africa.
In order to keep our services at a higher level and meet our customers’ maximum satisfaction We wish to invite applications from suitably qualified candidates to fill in this challenging position.
POSITION:          CABIN CREWS(10-POSTS) REPORTS TO:     CHIEF CABIN CREW DUTY STATION: DAR ES SALAAM ROLE PURPOSE OF THE STATEMENT
You will be reporting to Chief Cabin Crew/Assistants Chief Cabin Crew - P