Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2017

Iran Air takes delivery of its first four ATR 72-600s

Iran Air, Iran’s national flag carrier, has on Tuesday May 16 th , 2017 taken delivery of its first four ATR 72-600s. ATR and Iran Air signed earlier this year a firm contract for 20 ATR 72-600s and options for a further 20. Deliveries of the 20 firm aircraft will extend until the end of 2018. Following the relief on international sanctions on Iran, there is a major need to modernise and develop air transportation to boost local economies throughout the country and improve connectivity between the regions. Iran relies on a strong domestic infrastructure, that numbers 60 airports that the ATRs are fully capable of serving. The ATR 72-600 is ideal for operations in many types of challenging environments, including small airfields, unpaved runways and mountainous regions. The ATR 72-600 will form the core of the regional aircraft of the Iran Air fleet and will substantially contribute to the expansion and development of the services provided by the national airline across the

Sehemu Ya Bajeti Ya Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Usafiri Na Uchukuzi Kwa Njia Ya Anga) - 2017/2018

Ifuatayo ni sehemu ya bajeti ya wizara ya uchukuzi kwa upande wa usafiri na uchukuzi kwa njia ya anga kwa mwaka 2017/2018 kama ilivyowasilishwa na waziri Profesa Makame Mbarawa katika bunge la bajeti mjini Dodoma. USAFIRI NA UCHUKUZI KWA NJIA YA ANGA Udhibiti wa Usalama wa Usafiri wa Anga 154.Mheshimiwa Spika, Serikali imeendelea kuzingatia vigezo na kanuni za usalama wa usafiri wa anga kama inavyoshauriwa na Shirika la Usafiri wa Anga Duniani (The International Civil Aviation Organisation-ICAO). Kwa lengo la kuimarisha na kuboresha huduma za usafiri wa anga nchini. Wizara kupitia Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) imeendelea kusajili ndege kulingana na masharti ya usajili ambapo katika kipindi cha Julai 2016 hadi Machi, 2017, ndege 14 zilisajiliwa kwa mara ya kwanza hapa nchini na ndege 79 zilikaguliwa na kupewa vyeti vya ubora wa kuendelea kufanya kazi. Lengo ni kuhakikisha utekelezaji wa sheria na kanuni za Usalama wa Usafiri wa Anga zinafuatwa. 155.Mheshimiwa