Skip to main content

Fastjet yajiandaa kupokea ndege yake,ATR72-600.

Shirika la ndege la fastjet linatarajia kupokea ndege yake aina ya ATR72-600 hivi karibuni. Kwa mujibu wa mtandao wa Skyliner Aviation,ndege hiyo inaonekana ikiwa tayari imeshapakwa rangi za fastjet, na taarifa zinasema inatarajiwa kusajiliwa Tanzania na kuanza kazi katika mwezi wa januari 2018.
Fastjet wanasema ATR itawawezesha kutua katika maeneo ambayo ndege aina ya jet haziwezi kutua.
Kwa maana hiyo sasa fastjet wataweza kutua katika viwanja kama vile Mtwara, Kigoma, Tabora, Arusha na kwingine kule ambapo ATR72 inaweza kutua kwa usalama.

Picha kwa hisani ya mtandao wa Skyliner.
Ndege za ATR si ngeni hapa nchini kwani shirika la ndege la Precision Air linamiliki kiasi kikubwa cha ndege hizo, takribani ndege 9 zikiwa ni ATR72 na ATR42, na ni miongoni mwa mashirika yanayo ongoza barani Afrika kwa kuwa na idadi kubwa ya ATR, na pia ina karakana yake ya ufundi ambayo imebobea katika ufundi na matengenezo ya ndege hizi za ATR.
ATR72 ina uwezo wa kubeba abiri kati ya 72 hadi 78.
Tutarajie kuona ushindani zaidi katika soko la usafiri wa anga jambo ambalo linaweza leta unafuu kwa watumiaji wa usafiri huo na pia kuwa ni chachu ya kuongeza ajira na maslahi kwa wafanya kazi ktk sekta hii.

Comments

Most Viewed Posts

Job Opportunities at Air Tanzania (ATCL)

VACANCIES ANNOUNCEMENT Air Tanzania Company Limited (ATCL) is in the process of revamping its operations and has introduced new equipment to its fleet. The Company is therefore inviting applications from qualified personnel to fill various positions. 1.      POSITIONS:  1.1. Dash 8 – Q400 Mechanical and Avionics Certifying Engineers (6 POSTS)     a)    Qualifications·         ·          Must possess a valid Aircraft Maintenance Engineers License (ICAO TYPE II).  ·         ·          Must possess a valid Dash 8 – Q400 Approval/License. ·      Must have successfully completed Dash 8 – Q400 type course from an Approved Training Organisation.        ·       Must have Aircraft Maintenance working experience, as a certifying engineer, of not less than 5 years; 2 of which being on Dash 8 – Q400. Experience must include release to service certification after “A” Check and above.        ·          Computer literacy·         ·          Fluency in English·        

Job Opportunities at Air Tanzania: Pilots-in-Command, Co-Pilots,Aircraft Maintenance Engineers and Cabin Crews.

Air Tanzania Company Limited (ATCL) is in the process of revamping its operations and has introduced new equipment to its fleet. The Company is therefore inviting application from qualified personnel to fill various positions. 1. POSITIONS: 1.1  Pilot-in-Command – Dash 8 (11 Posts) a) Qualifications: Must possess Airline Transport Pilot License (ATPL) and with performance “A”.Must additionally achieve the following:- ·          Minimum of 4000 hours flying experience of which 2000 hours must be command on multi-engine  aircraft; Above 17 ton. ·          Group 1 endorsement on DASH 8 or Equivalent with a minimum of 500 hours command on type; ·          Pass an oral interview and flying acceptance check conducted by the Company; ·          Must pass a Base and Route check with an Instrument Rating within 10 and 70 hours respectively; ·          Track record of good performance as a Commander and no accident record. b) Duties and responsibilities : ·      

Job Vacancy At Precision Air - Cabin Crews (10-Posts)

                                                                                                                  JOB VACANCY Precision Air Services Plc is a fast growing private Tanzanian airline which operates in Partnership with Kenya Airways, with its strategies to expand wings beyond East Africa and Africa. In order to keep our services at a higher level and meet our customers’ maximum satisfaction We wish to invite applications from suitably qualified candidates to fill in this challenging position. POSITION:           CABIN CREWS(10-POSTS) REPORTS TO:     CHIEF CABIN CREW DUTY STATION: DAR ES SALAAM                            ROLE PURPOSE OF THE STATEMENT You will be reporting to Chief Cabin Crew/Assistants Chief Cabin Crew - Precision Air Services PLC. Please take note of your responsibilities. Consistently give quality customer service to passengers in a safe environment for their comfort and satisfaction KEY ACCOUNTABILITIE