Skip to main content

SWISS yasimamisha ndege zake zote za Airbus A220 kupisha ukaguzi wa injini.Shirika la ndege la SWISS Inrernational Airlines ambalo linamilikiwa na Shirika la ndege la Lufthansa la Ujerumani, limesimamisha safari za ndege zake zote aina ya Airbus A220 kutokana na matatizo ya injini zake. Injini zote za ndege hizo zimelazimika kukaguliwa ili kuhakiki usalama wake. Ndege hizo hutumia injini aina ya PW 1500G zinazotengenezwa na kampuni ya Pratt & Whitney ya Canada. 

Shirika hilo limesema lipo katika mazungumzo na mamlaka za usimamizi wa usafiri wa anga na pia mtengenezaji wa ndege hizo ambaye ni kampuni ya Airbus. 

Mamlaka ya usafiri wa anga ya Marrekani FAA ilitoa muongozo kwamba injini zote za A220 ambazo ni Pratt & Whitney zinatakiwa kufanyiwa ukaguzi zaidi wa kiusalama. 

Kusimamishwa kwa ndege hizo kunatokana na matatizo ya kiufundi ya mara kwa mara ya injini hizo. Mnamo July 25 vipande vya injini ya A220 vilikatikakatika na kuanguka katika anga la Paris, ndege hiyo ikiwa safarini kutokea Geneva kwenda London.Tukio kama hilo linaripotiwa kutokea tena Septemba 16, kwa mujibu wa mamlaka ya uchunguzi ya ajali za ndege la Ufaransa, BEA. Na tukio lingine limetokea Octoba 15 likihusisha injini za P&W na kuwafanya marubani wa safari no LX359 kurudisha ndege Geneva na hatimaye shirika hilo kuamua kuzisimamisha ndege zake zote za A220. 

SWISS ina jumla ya A220 zipatazo 29 amabapo 20 ni A220-300 na 9 ni A220-100. Safari zote za SWISS zilizopangwa katika ndege hizo zimeahirishwa. 

A220 sio ndege pekee yenye matatizo kwa sasa, ila inaongeza idadi katika listi ya ndege zenye matatizo. Ndege nyingine zenye matatizo ni Boeing 737 MAX, na pia Boeing 787 Dreamliner ambayo pia ina matatizo katika engine zake aina ya Rolls Royce Trent 1000. 

Comments

Most Viewed Posts

Job Opportunities at Air Tanzania (ATCL)

VACANCIES ANNOUNCEMENT Air Tanzania Company Limited (ATCL) is in the process of revamping its operations and has introduced new equipment to its fleet. The Company is therefore inviting applications from qualified personnel to fill various positions.
1.      POSITIONS: 
1.1. Dash 8 – Q400 Mechanical and Avionics Certifying Engineers (6 POSTS) 
   a)    Qualifications·         ·Must possess a valid Aircraft Maintenance Engineers License (ICAO TYPE II).  ·        ·Must possess a valid Dash 8 – Q400 Approval/License.·Must have successfully completed Dash 8 – Q400 type course from an Approved Training Organisation.       ·Must have Aircraft Maintenance working experience, as a certifying engineer, of not less than 5 years; 2 of which being on Dash 8 – Q400. Experience must include release to service certification after “A” Check and above.       ·Computer literacy·        ·Fluency in English·        ·Possession of Dash 8-Q300 Approval/License will be an added advantage.

   b)    Duties and res…

Job Opportunities at Air Tanzania: Pilots-in-Command, Co-Pilots,Aircraft Maintenance Engineers and Cabin Crews.

Air Tanzania Company Limited (ATCL) is in the process of revamping its operations and has introduced new equipment to its fleet. The Company is therefore inviting application from qualified personnel to fill various positions.
1. POSITIONS: 1.1 Pilot-in-Command – Dash 8 (11 Posts) a) Qualifications: Must possess Airline Transport Pilot License (ATPL) and with performance “A”.Must additionally achieve the following:- ·Minimum of 4000 hours flying experience of which 2000 hours must be command on multi-engine aircraft; Above 17 ton. ·Group 1 endorsement on DASH 8 or Equivalent with a minimum of 500 hours command on type; ·Pass an oral interview and flying acceptance check conducted by the Company; ·Must pass a Base and Route check with an Instrument Rating within 10 and 70 hours respectively; ·Track record of good performance as a Commander and no accident record.
b) Duties and responsibilities: ·To command the aircraft with due regard for safety and comfort of passengers at all times. ·To maintain…

Job Vacancy At Precision Air - Cabin Crews (10-Posts)

JOB VACANCY Precision Air Services Plc is a fast growing private Tanzanian airline which operates in Partnership with Kenya Airways, with its strategies to expand wings beyond East Africa and Africa.
In order to keep our services at a higher level and meet our customers’ maximum satisfaction We wish to invite applications from suitably qualified candidates to fill in this challenging position.
POSITION:          CABIN CREWS(10-POSTS) REPORTS TO:     CHIEF CABIN CREW DUTY STATION: DAR ES SALAAM ROLE PURPOSE OF THE STATEMENT
You will be reporting to Chief Cabin Crew/Assistants Chief Cabin Crew - P